Breaking News

Audio | Pascal Tokodi – Ewe Mola | Mp3 Download

New song from kaka empire signed artist Pascal Tokodi – Ewe Mola mp3 download,
Thanks Giving Song
Kwa upendo wa moyo wako
Umenibariki
Mikononi mwako
Mi-nitanawiri
Chochote utakacho
Nitakitimiza
Wema wako wote
Mi-nitalipiza
Kwa upendo wa moyo wako
Umeniinua
Mbele ya adui wangu
Ukaniokoa
Uaminifu wako
Mimi nathamini
Wema wako wote
Mi-nitalipiza
Ewe mola niskize
Nina maneno machache
Niruhusu niimbe
Nikikupa hii shukrani
kwa baraka uliyonipee
Mi nasema tu asanti
Mchana na usiku
Mi ntakusifu
Machozi yanidondoka
Nikijazwa na mafikra
Pale ulinitoa na
mahali nimefika
Yote haya ni sababu
Ya uwezo wako baba
Wema wako wote
nitalipiza
Ewe mola niskize
Nina maneno machache
Niruhusu niimbe
Nikikupa hii shukrani
kwa baraka uliyonipee
Mi nasema tu asanti
Mchana na usiku
Mi ntakusifu
Kwa baraka Uliyonipa
Kwenya shida nilizopita
Na mahali nimefika
Ni juu yako!
CHORUS
END:)

41 total views, 41 views today

The post Audio | Pascal Tokodi – Ewe Mola | Mp3 Download appeared first on Kenyan latest music download.


No comments